bei nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    BEI NZURI YA MISE

    Habari za kwenu wadau. Naomba mnisaidie kujua ni sehemu gani naweza nikapta mafuta ya Mise kwa bei nafuu Nawakilisha kwenu. Mimi nipo Dar es salaam.
  2. Nauza marine boards, mirunda na mbao zilizotumika

    Habari.Nauza mirunda, mbao, na marine boards zilizotumika. Marine boards ziko size 18mm, Mbao zipo size 2x2, 4x2, 1x9, na 1x 10. Bei maelewano. Vifaa vimetumika mara moja tu, nategemea kuezua slabu yangu tarehe 23/11/2024 site ipo Msumi Dar. Mawasiliano 0747109975.
  3. W

    TUNUNUA MATAIRI MABOVU YA MABASI NA SCANIA KWA BEI NZURI!

    Tunatafuta matairi yaliyotumika ya mabasi makubwa na Scania. 💸 Tunatoa TZS 3,000 kwa kila tairi moja! ✅ Kiasi kinachohitajika: Tunapokea matairi kuanzia 50 au zaidi. 📍 Eneo: Upo Dar es Salaam? Tutakuja moja kwa moja hadi eneo lako!
  4. Nanunua Sungura pori Wazima kwa bei nzuri

    Wakuu Nanunua Sungura wa porini kwa bei nzuri sana. Kama ww n muwindaji au unaweza kuwapata nitafute tufanye biashara. Bei 50000/= mmoja Nipo Mwanza. Watu wa dar mtulie haya si mambo yenu
  5. Naomba Connection ya kupata Wauzaji wa vioo vya simu kwa jumla kwa bei nzuri

    Wakuu, Kuna chimbo nimelipata pana gape ya vioo vya simu kuanzia viswaswadu hadi Smartphone. Nimejaribu kusaka maduka yanayouza jumla, naona bei zimechangamka sana. Mfano kioo mafundi simu wanavyouza elf 30, madukani nao wananiuzia bei iyo iyo. Tupeane connection nitakapopata kwa bei nzuri...
  6. Jipatie mafuta mazuri original (Turmeric oil) kwa bei nzuri

    Pambe ya mjini, si unajua balaa la manjano sasa haya ni Mafuta yake 1000ml bei ni 40,000 tu karibuni Sana. Piga simu 0692436124 Hii ni Body Repairing Wapendwa: 🌺Inaondoa weusi mwilini kwenye mapaja, makalio, makwapani, magotini na viwiko vya mikono 🌺Inaondoa sugu zote za vidoleni 🌺Inaondoa...
  7. B

    Tunabandika stickers kwa bei nzuri, simu PC na vifaa vingine

    +255 62 290 8295 simu ziite Bei sticker za kawaida (plain) Kwenye cm 3k Kwenye pc 15k Bei sticker za picha Kwenye cm 5k Kwenye pc 20k Pc nzima 25k Napatikana dar es salaam Survey
  8. Nahitaji pikipiki aina ya Honda au yamaha kwa Bei nzuri

    Tangazo juu hapo inajitosheleza,nahitaji piki piki aina ya Honda au yamaha,kwa ajili ya folen i ya hapa na pale ndani hili jiji
  9. Wapi naweza kupata nguo na viatu vya Mtumba vya quality na bei nzuri?

    Wadau, Naombeni msaada wapi nitapata Mashati na suruali kwa bei nzuri hapa Dar na Quality ya ukweli. Mimi hupendelea mtumba sababu unakuwa wa tofauti kidogo kuliko Dar Combine. Anywhere but not Kariakoo please.
  10. R

    Phone4Sale Google Pixel 6A inauzwa kwa bei nzuri

    Sim aina ya Google Pixel 6A used but in good condition. Ram 6 GB Internal storage 128 GB Single sim card Size 6.1 inches Network 5G Bei 500,000/= Protector cover bure Nipo Tabata Segerea
  11. Natafuta soko la Aluminium foil za jumla (foil za kufungia chips, nyama etc)

    11
  12. Naomba msaada kujua duka wanalouza mota bei nzuri kwa Dar

    Wanajf natumai mpo poa, Naomba anayejua duka ambalo naweza pata mota kwa bei nzuri ukiachana na autosokoni. Nawasilisha kwa msaada.
  13. M

    Nauza mafuta ya alizeti bei nzuri sana

    Mafuta yanapatikana kwenye ujazo wa ltr1, ltr3,ltr4 na lita 5.... Bei rafiki sana 0623140090 nitafute tufanye biashara yanapatikana kwa jumla na rejareja.. karibuni sana
  14. L

    Nampongeza Rais Samia kwa kusimama na wakulima kwa kuwaruhusu kuuza mahali popote palipo na Bei nzuri

    Ndugu zangu Sote tunafahamu kuwa secta ya kilimo katika nchi hii imeajiri na kubeba kundi kubwa Sana la watanzania, Ni secta ambayo ndio pumzi ya familia na Kaya nyingi, Ni secta inayotegemewa na watanzania wengi Kama shughuli kuu ya kiuchumi, Ni kimbilio la wengi, Ni ngazi ya wengi, Ni njia...
  15. Aina gani ya maharage yenye bei nzuri sokoni

    Nina eneo kubwa nataka kulima maharage. Naomba kujua ni aina gani ya maharage inapendwa sana sokoni na bei yake imechangamka sokoni. Ukinipa na mbegu inakopatikana itapendeza. Eneo heka 2
  16. J

    Kinana: Waacheni wakulima wauze mazao yao sehemu yoyote wanayodhani watapata bei nzuri

    Kinana ashauri wakulima waachwe wauze popote wanapopata bei nzuri Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania bara Ndugu Abdulrahman Kinana ametoa wito wa kuondolewa kwa vikwazo dhidi ya wakulima pale wanapotaka kuuza mazao yao. Akizungumza na wana CCM na wananchi waliyojitokeza kumlaki Nyakanazi...
  17. Phone4Sale Nauza Quality SIMU kwa bei nzuri

    Tuanze na IPHONE 7 32 GB USED BEI : SOLD SOLD LOCATION : DAR ES SALAAM CONTACT : 0764081567 - Call and Whatsapp
  18. Phone4Sale Redmi Note 9s inauzwa bei nzuri

    ..
  19. Vifaa vya Aluminium kwa bei nzuri

    Nahitaji msaada wa kufahamishwa sehemu wanapouza vifaa vya kutengenezea madirisha ya Aluminium kwa bei rafiki
  20. Computer4Sale Laptop aina mbalimbali zinauzwa

    HP MIN LAPTOP 300,000/= TU INa RAM 2 GB HDD 160 SCREEN SIZE 10.1 Refuerbished Ina Kaa na charge Masaa 10 Call Me 0716889489
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…