Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul amesema kiwango cha adhabu kilichopendekezwa kwenye Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Ushindani wa Mwaka 2024, kwa wafanyabiashara watakaoshindwa kuweka wazi bei za bidhaa wanazouza, kiendane na ukubwa wa biashara husika.
Muswada huo...
Binafsi sioni umuhimu wa kuwa na bandari. Kama bandari inatoa ajira hata tukiiuza mwekezaji ataajiri pia.
Kama Watanzania tulipaswa kuwa na unafuu wa katika manunuzi ya bidhaa kuliko nchi nyingi za magharibi ambazo hazina bandari.
Kwanza ndio tunamiliki, pili geographical factors, kwamba...
Watanzania ni watu wa ajabu sana.
Rais Hayati Magufuli aliamua kuoanga ama kuingilia upangaji wa bei za bidhaa kuwalinda walaji na wauzaji malalamiko yakawa mengi sana kwamba anapanga bei, anaingilia soko.
Mama ameacha soko liamua bado hao hao kina Lissu wanasema Maharage na Nyama bei moja...
Katika biashara kila mfanyabiashara anafanya biashara yake kwa namna alivyowekeza pesa zake,muda na akili yake eneo hilo.
Baada ya kujua pesa aliyowekeza,muda aliotumia,gharama zote mpaka bidhaa inamfikia mteja ndipo mfanyabiashara hupanga bei ya bidhaa zake.
Wafanyabiashara wengi 80% sio...
KUONGEZEKA KWA BEI YA MAFUTA YA PETROL NA DIESEL KUMESABABISHWA NA ONGEZEKO LA BEI KTK SOKO LA DUNIA NA SIYO KOSA LA RAIS SAMIA.
Hapo jana serikali imetangaza bei mpya ya mafuta ya bei ya petroli na diesel ambapo kwa hapa Tanzania bei inatarajiwa kuanzia leo kuwa kati ya sh 2700-3000
Kuna watu...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amewanasihi wafanyabiashara kuacha kutumia mgogoro wa Urusi na Ukraine kama kisingizio cha kupandisha bei za bidhaa katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Dk. Mwinyi alieleza hayo jana katika risala maalum aliyoitoa yenye lengo la...
Kila kitu holela, bidhaa aina zote bei juu na ni ndani ya muda mchache sana, serikali imeshindwa kazi, ijiuzulu.
Mwaka jana pamoja na kovidi kutisha kwa kiwango cha hali ya juu hatukuwa na mfumuko wa bei kiwango cha sasa.
Inaonekana Serikali tayari mikononi mwa walanguzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.