NISHATI: Bei ya Mafuta imeripotiwa kuendelea kushuka zaidi katika Soko la Dunia karibu miezi 4 mfululizo ambapo hadi kufikia Mei 4, 2024, Bei ilifikia kati ya Dola za Marekani $76.76 (Tsh. Tsh. 200,727) hadi $77.52 (Tsh. 202,714) kwa Pipa.
Hali hiyo imesababisha Nchi Zinazouza Mafuta (OPEC) na...