bei ya mahindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tajiri Sinabay

    Naomba kujulishwa Bei ya mahindi ya popcorn kwa Dar es Salaam

    Wakuu nataka nijue bei ya mahindi ya popcorn kwa Daresslam, Bei ya kuanzia mfuko wa kilogram 20 na kuendelea. Nipo mtwara.
  2. L

    Pre GE2025 Rais Samia aagiza mahindi kununuliwa kwa Tsh 700 kwa kilo

    Ndugu zangu Watanzania, Tuwe tunaeleweka tunaposema ya kuwa Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe , Ameinuliwa na mkono wa Mungu Mwenyewe, aliandaliwa na Mungu Mwenyewe kuja kuliongoza Taifa letu, amefika hapo alipo kwa mpango wa Mungu na kwamba amekuja na kuletwa kwetu kama zawadi kwa...
  3. D

    Naomba kujua bei ya Mahindi eneo ulipo

    Asalaam, Poleni na kazi. Naomba kujua huko ulipo na bei ya mahindi imefika bei gani kwa gunia la debe 7 au 6. Tupeane updates, tuone tunafikaje kuchukua mzigo. Ahsanteni.
  4. Samaki Nchanga

    Bei ya Mahindi 2024 itamnyanyua au itamnyanyasa Mkulima?

    Wakuu Habari? Katika Harakati za Kuongeza kipato Huu ni mwaka wa pili sasa Nimeingia kwenye kilimo Cha mahindi huku Ukanda wa Kusini mwa Tanzania. Lakini Kuna Jambo Naliona Zao hili lina Ukiritimba mwingi hasa kwenye Bei Nafikiri ndo maana Wakulima wengi wa Mahindi ni masikini Maan unalima...
  5. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ndaisaba Ruhoro Alilia Serikali Bei ya Mahindi

    Mbunge wa Jimbo la Ngara Mkoani Kagera, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro ameiomba serikali kupitia wizara ya kilimo kunusuru zao la Mahindi ambalo bei yake inashuka siku hadi siku. Mhe. Ndaisaba ametoa kauli hiyo baada ya wananchi kuibua kero hiyo kwenye mkutano wa hadhara alioufanya Kata ya Ngara...
  6. G

    SoC03 Kushuka Bei Mahindi Nchini

    Kushuka kwa bei ya mahindi nchini ni suala ambalo linahitaji ufumbuzi wa haraka ili kuepuka athari kubwa kwa wakulima na jamii kwa ujumla. Wakulima wanapata hasara kubwa kutokana na kupungua kwa bei ya mahindi, huku wafanyabiashara wakipata faida kubwa. Kwa kuwa mimi ni mkulima na mjasirimali...
  7. Roving Journalist

    Hussein Bashe: Wakulima wa Katavi, Kiteto na Sumbawanga wasiuze Mahindi chini ya Tsh. 800 kwa kilo

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 54, leo Juni 23, 2023. Tanzania kutokomeza Ugonjwa wa Malaria ifikiapo mwaka 20230 Naibu Waziri wa Afya Dr. Godwin Mollel amesema hadi sasa kuna mikoa zaidi ya 9 nchini iliyo na kiwango cha Maambukizi ya Ugonjwa wa Malaria chini...
  8. mtwa mkulu

    Sakata la kushuka kwa Bei ya Mahindi: Spika Tulia na Waziri Bashe wawataka wananchi wabebe mahindi yao wakauze NFRA

    Hatimaye spika tena ameonyesha ubabe kwa wabunge. Amewazuia wasiongee chochote kuhusu mahindi badala yake wawaelekeze wananchi wakajitwishe mahindi yao nakuuza huko NFRA ambako kuna bei nzuri. Hakika haya ni maafa mengine kwa Taifa letu. Wananchi vijijini ni masikini wa kutupwa lakini hawana...
  9. B

    Bei ya mahindi kuua wafugaji wa kuku Tanzania

    Ndugu watanzania bei ya mahindi mwisho wa Feb 2023 ilikua kwa jumla 1, 120 kwa Dar Es Salaam lakini bei ya leo 6 March 23 yamepanda kufikia 1, 330 kwa kilo moja. Ongezeko hili ni hatari kubwa kwa wafugaji wafugaji wa kuku na wengineo kwa sababu ongezeko hili ni sawa na 5, 000 kwa mfuko wa...
  10. OLS

    Bei ya mahindi kwa mwaka 2022 ni kubwa kuliko 2021

    Kimsingi trend ya bei ya mahindi imeonesha hali isiyo ya kawaida kwa mwaka 2022. Hali tunayoweza kuilalamikia ulaya kutokana na Vita vinanvyoendelea Ulaya mashariki. Kwa kuangalia trend ya bei za gunia la mahindi ni kawaida kwa bei kupanda na kushuka kutokana na utofauti wa vipindi vya mwaka...
  11. JanguKamaJangu

    BOT: Bei ya mahindi imepanda mara mbili

    Wakati raia wakiendelea kulalama juu ya kupanda kwa bei ya nafaka, wakulima na wafanyabiashara huenda wakawa miongoni mwa watu walionufaika zaidi na zao la mahindi baada ya bei ya jumla ya zao hilo kupanda zaidi ya mara mbili ndani ya kipindi cha mwaka mmoja uliopita. Ripoti ya Mapitio ya...
  12. Mangole Valles Michael

    Msaada: Kwa anayefahamu bei ya sasa ya mahindi ni sh ngapi?

    Habarini wana jamvi, Kama kichwa cha habari kinavo jieleza nauhitaji wa mahindi kuanzia tani moja, kwa yeyote mwenye nayo aje na ofa yake tufanye biashara, au kama unafahamu yanapopatikana na bei yake naomba msada wako. Mawasiliano 0744666115
  13. T

    Tupeane mwenendo wa bei ya mahindi kutoka kona zote za nchi

    Ndugu wanajf, Sisi wakulima tujulishane mwenendo wa bei ya mahindi kila kona ya nchi, ili kujua wapi soko zuri lipo. Arusha na Mwanza bei ikoje kwa gunia la kg 100? tf
  14. MKEHA

    Sakata la mahindi litaondoka na serikali?

    Kumekuwa na kelele sana juu ya anguko la bei ya mahindi kote nchini. Kiasi ambacho imebidi CCM iingilie kati. Nimewaona wabunge wote hasa wa CCM wakionyesha kutorodhishwa kwao jinsi NFRA inavyonunua mahindi toka kwa wakulima. Ongezekeo hili la wingi wa mahindi ni mwitikio wa wakulima kwani...
Back
Top Bottom