Unakwenda hotelini unaagiza labda makange nyama unaambiwa eti 15000 wakati pale nyama labda nusu tu na makange yenyewe hakuna cha ziada zaidi tu yamekaangiwa karoti hoho nyanya yaani viungo ambavyo havizidi hata 2000.
Je, hiyo hela nyingine inapanda kwq sababu gani je ni kwa sababu ya jina tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.