bei ya nyanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bei ya nyanya imeshuka sana sokoni

    Wiki za hivi karibuni bei ya nyanya ipo chini sana, mfano Dar es Salaam juzi napita sokoni wanauza sado ya nyanya kwa elfu 1. Hii haina faida kabisa kwa wakulima ukizingatia mahitaji ya kulima na kuitunza nyanya yenywe ikiwa shambani ni gharama sna.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…