Bei ya petroli na dizeli ya rejareja kwa Oktoba 2024 imeshuka nchini, ikilinganishwa na Septemba, huku sababu kadhaa zikitajwa, ikiwamo kushuka kwa gharama za soko la Uarabuni.
Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) inaonyesha bei za mafuta kuanzia leo...
Mpk Sasa nimefuatilia vyombo vya habar ving sana sio Ayo tv, sio kitenge tv...kimya Cha kaburi! n vichache mno vimeweza kutoa taarifa hii ikiwemo Jamii forum..
Hizi taarifa n tokea Jana usiku zimetoka ila kinachosikitisha Mambo haya hayana airtime Tanzania sio kwenye Media sio Kwa watanzania...
Kuna kila sababu ya kujitafakari upya
Yaani nimeagiza balimi mbili moja ni 500cc, kwa hivyo balimi mbili ni 1000cc, ambapo balimi moja ni TZS 2000/'- yaani kwa muktadha huo 1000cc za balimi ni shilingi 4000/-, bei ambayo ni zaidi ya lita moja ya petrol
Tuna kwenda wapi jamani, ni furaha tu...
NISHATI: Bei ya Mafuta imeripotiwa kuendelea kushuka zaidi katika Soko la Dunia karibu miezi 4 mfululizo ambapo hadi kufikia Mei 4, 2024, Bei ilifikia kati ya Dola za Marekani $76.76 (Tsh. Tsh. 200,727) hadi $77.52 (Tsh. 202,714) kwa Pipa.
Hali hiyo imesababisha Nchi Zinazouza Mafuta (OPEC) na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.