bei ya umeme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuzungumkuti gani hiki kati ya kuongeza bei ya umeme kwa mtumiaji au kupunguza bei kwa mtumiaji

    Leo nimemsikia msemaji wa serikali TBC akitoa taarifa kwamba mitambo minane kati tisa katika bwawa la Nyerere sasa inazalisha umeme. Akasema umeme sasa tunao wa kutosha na ziada kubwa tu. Akasema hata mitambo mingine ikizimwa nchi nzima mitambo ya bwawa la Nyerere itatosheleza nchi na bado ziada...
  2. Hivi bei ya umeme imeongezeka?

    Leo nimelipia umeme na kupata unit chache. Baada ya kufanya mahesabu nikagundua unit moja sasa ni shilingi 379 toka 356, hii ina maana hizo token 60 zimekuja na mabadiliko ya bei pia. Je, wadau ni kweli hata nyie haya mabadiliko ya bei yamewafikia? Soma Pia: Wabunge wataka makali bei ya umeme...
  3. Serikali: Gharama ya kununua umeme nchini ipo chini ukilinganisha na Nchi nyingine za Afrika Mashariki

    📌 Ni kutokana na Serikali kuweka ruzuku katika kila uniti 📌 Aelezea ruzuku inayotolewa na Serikali kufikisha umeme visiwani Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema gharama ya kununua umeme nchini ipo chini ukilinganisha na Nchi nyingine za Afrika Mashariki. Hii ni kutokana na...
  4. J

    Wabunge wataka makali bei ya umeme ipungue

    Wabunge wameitaka Serikali kukokotoa upya bei ya umeme baada ya mradi wa kufua nishati hiyo wa Julius Nyerere (JNHPP) kukamilika ili kumpa nafuu Mtanzania. Akiuliza swali la nyongeza bungeni leo Agosti 30, 2024, Mbunge wa Lupa, Masache Kasaka amesema mradi wa JNHPP umeanza uzalishaji umeme wa...
  5. Rais Samia karuhusu upandaji wa LUKU mwisho wa mwezi, kipindi wakiwa na Magufuli waliahidi kushusha bei ya umeme, Imekuwaje?

    Miongoni mwa waliohudhuria kwenye mikutano ya Rais Samia huko Katavi na mimi nilikuwepo Kwenda kwangu kwenye mikutano hiyo, siyo kwamba ndio namkubali Rais katika utendaji wake, hapana Nimepatwa na shida sana kichwani kuamini kwamba, huyo ndiye aliyezunguka na JPM kuomba kura huku wakituahidi...
  6. Naomba elimu kuhusu masuala ya kodi kwenye kununua na kuuza umeme

    Hivi nikinunua umeme natozwa VAT 18% je, Tanesco naye anawajibika kulipa TRA 18% ya umeme wote alio tuuzia sisi wananchi, kama ndio kwanini VAT inalipwa mara mbili kwa serikali kati ya watu 2 wanao fanyiana biashara. Je, hii sio double taxation? Au mimi nikilipa VAT kwenye umeme na ndio hiyo...
  7. TANESCO naomba maelezo ya kina, nimechanganyikiwa (Kuhusu Kununua Luku Na Units Unazopata)

    TANESCO naomba maelezo ya kina nimechanganyikiwa. Siku za nyuma nilikuwa nikinunua umeme wa Tsh. 10,000 nilikuwa napata units 28.I don't know what is going on, ila siku zilivyokuwa zinaendelea nimekuwa napata less and less units, na leo nimenunua umeme wa hiyo hiyo Tsh. 10,000 nimepata only 11...
  8. W

    BEI YA UMEME IPUNGUE

    Baada ya Bwawa la umeme kukamilika tunaomba rekebisheni bei za umeme kwa watu wa kawaida. Sisi watu wa kawaida napendekeza unit 1 kwa tshs 100 bila ukomo. Au wekeni umeme kama mabando ya simu ili mtu awe na uhuru wa kuchagua maana kuna wakati mtu kuhitaji umeme mwingi kwa shughuli maalum...
  9. Nashauri Serikali kupunguza bei ya umeme kuchochea shughuli za kiuchumi

    Kukamilika Kwa bwawa la umeme la Nyerere kumepelekea Taifa kuwa na umeme wa kutosha. Nashauri huu ni wakati muafaka Kwa serikali kupunguza bei ya umeme (token) Ili kupunguza gharama ya maisha na kuchochea shughuli nyingi za uchumi zinazotegemea umeme. Raisi Samia ana pigia chepuo matumizi ya...
  10. Uganda yapunguza bei ya umeme kwa wawekezaji na wafanyabiashara. TANESCO na Serikali igeni mfano huu mzuri

    Ikikenga kukuza biashara, uwekezaji na viwanda Nchi ya Uganda imesema itawapunguzia bei ya umeme watu wote walioko kwenye sekta ya biashara, viwanda na Watumishi wengine wakubwa Ili kuwaounguzia gharama za uendeshaji na kuchochezea zaidi Uchumi. Pamoja na Uganda Kunyomwa Mikopo na WB na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…