bei ya vifurushi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TTCL mbioni kushusha bei ya vifurushi

    Taarifa nyeti za ndanindani ni,izopewa mchana wa leondio kama hivyo navyowaambia TTCL wapo mbioni kushusha bei za vifurushi sababu za uwepo wa waziri mpya bwana Jerry Silaa pamoja na uwepo wa mkurugenzi mpya wa TTCL bwana Marwa wamedokeza kufanya kushusha bei ya vifurushi amabavyo mwanzoni...
  2. Barua ya Wazi kwa Jerry Silaa, Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. Bei za vifurushi vya data zipungue

    ๐’€๐’‚๐’‰: ๐‘ผ๐’๐’Š๐’๐’ˆ๐’‚๐’๐’Š๐’‡๐’– ๐’˜๐’‚ ๐‘ฉ๐’†๐’Š ๐’›๐’‚ ๐‘ฝ๐’Š๐’‡๐’–๐’“๐’–๐’”๐’‰๐’Š ๐’—๐’š๐’‚ ๐‘ซ๐’‚๐’•๐’‚ ๐’๐’‚ ๐‘ด๐’‚๐’Š๐’”๐’‰๐’‚ ๐’š๐’‚ ๐‘พ๐’‚๐’•๐’‚๐’๐’›๐’‚๐’๐’Š๐’‚ ๐— ๐—ต๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ถ๐—บ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—๐—ฒ๐—ฟ๐—ฟ๐˜† ๐—ฆ๐—น๐—ฎ๐—ฎ, ๐—ช๐—ฎ๐˜‡๐—ถ๐—ฟ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐— ๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ผ ๐—ป๐—ฎ ๐—ง๐—ฒ๐—ธ๐—ป๐—ผ๐—น๐—ผ๐—ท๐—ถ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—›๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ, ๐——๐—ผ๐—ฑ๐—ผ๐—บ๐—ฎ, ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ. Mheshimiwa Waziri, Kwanza kabisa, napenda kukupa pongezi nyingi kwa kuteuliwa kwako kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
  3. Waziri mpya wa Mawasiliano, anza kazi na Azam Media. Wamepanga kutupiga kwenye vifurushi vipya

    Ndugu Mteja, kuanzia 1/8/24 kutakuwa na mabadiliko ya bei. Kifurushi cha 25000 kuwa 28000; 17000 kuwa 19000; 10000 kuwa 12000; 6000 kuwa 7000 na 3000 kuwa 4000. Azam decoder hawana Ubora kuzidi Dstv, Wanatumia kigezo cha kutuonyesha mipira Ili kuchaji gharama zaidi, ongezeko hilo ni kama...
  4. Azam kuja na bei mpya ya vifurushi?

    Hii tambulisha yao ya vifaa vipya siku Jumanne, Julai 16, 2024 huenda ikaja na jambo. Je, kidonda cha bajeti kwa watanzania Azam watakitia chumvi?
  5. Azam TV yapandisha bei za vifurushi kuanzia Agosti 1 mwaka huu

    Nimepokea sms ya AzamTv kuhusu kupandisha bei za vifurushi kuanzia tarehe 01/08/2023. Mkeka ni kama ifuatavyo;
  6. Kwanini hakuna usimamizi kwenye Bei ya Vifurushi vya Mitandao ya simu?

    Habari ya asubuhi wana JF. Nimeleta hoja hii mbele yenu, kupata maoni kutoka kwenu. Hii ni kutokana na kubadilika kwa bei za vifurushi mara kwa mara bila kutolewa sababu za kubadilika kwa gharama za huduma hizo. Kwanini hakuna chombo kama EWURA!? Kinachofanyika kwenye mafuta kifanywe na huku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ