Hizi hapa ni malighafi ambazo Russia wanazisambaza duniani. wanasambaza 8.4 ya mafuta yote Duniani.
Mbolea inayotegemewa duniani wao wanategemewa zaidi ya 45% halafu waingie vitani uje kumlaumu Samia kuwa vitu vinapanda bei?
MamaYukoKazini ila la mfumuko wa bei , hahusiki.
Ingekuwa hivyo...
Nina masikitiko sana kuhusu kupanda hovyo kwa bei ya bidhaa mbalimbali hapa nchini. Nitoe tu mifano michache niliyoyaona.
Kwa siku za karibuni nilikuwa nanunua gesi ya kupikia kilo 15 kwa Tshs.51,000 leo gesi ilipoisha nikaenda kununua na nikaambiwa bei ya gesi ya kilo 15 ni Tshs.59,000...
Tunaomba serikali haswa waziri wa fedha na uchumi aumize kichwa kujaribu kusadia kushuka kwa bei ya vitu haswa vya ujenzi.
Nondo mm 10 sasa hivi imefika 20,000.
Nondo mm 16 kutoka 25000 mpaka 45,000.
Gypsum board ya Thailand imefika 30,000.
Tani moja ya nondo imetoka 1,850,000 mpaka kufikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.