Tunaomba serikali haswa waziri wa fedha na uchumi aumize kichwa kujaribu kusadia kushuka kwa bei ya vitu haswa vya ujenzi.
Nondo mm 10 sasa hivi imefika 20,000.
Nondo mm 16 kutoka 25000 mpaka 45,000.
Gypsum board ya Thailand imefika 30,000.
Tani moja ya nondo imetoka 1,850,000 mpaka kufikia...