Katika ulimwengu wa biashara wa kisasa, matangazo ya bidhaa na huduma ni moja ya njia bora za kuvutia wateja na kujitangaza. Hata hivyo, kuna mwelekeo mbaya unaozidi kuonekana miongoni mwa wajasiriamali na wamiliki wa biashara ambapo wanatangaza bidhaa na huduma zao, lakini hawaweki wazi kuhusu...
Wakuu,
Drama za mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda zinaendelea.
Hivi karibuni amesema kuwa kwa Arusha ni marufuku kwa wafanyabiashara kupandisha bei za bidhaa mkoani Arusha
"Katika mkoa huu ni marufuku Wafanyabishara kupandisha bei ya bidhaa kwa mwezi huu wa ramadhani"
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewahimiza Wafanyabiashara kujiandaa na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kufanya biashara kwa uadilifu, huruma na kuacha tabia ya kupandisha bei bidhaa kwakuwa wanaoumia ni wananchi.
Alhaj Dkt. Mwinyi ametoa tamko...
RAIS MWINYI: KUSHUKA KWA DOLA KUTAPUNGUZA BEI ZA BIDHAA.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema kushuka kwa thamani ya dola nchini ni faraja kubwa kwa Uchumi kwani kutapunguza ugumu wa gharama za maisha kwa wananchi.
Rais Dk. Mwinyi ameyasema...
Hello....
Habari za muda huu.
Je, huyu ni wewe?
Unajiuliza ni njia gani utumie kupanga bei ya kuuzia bidhaa zako? Kwenye upangaji wa bei kuna factor nyingi za kuziangalia mfano.
1. Washindani wako katika soko.
2. Kipato cha wateja wako.
3. Mazingira ya soko.
Ila leo nitazungumza...
Salamu,
Naomba kujua namna ambavyo Mzabuni anaweza kupanga Bei ya bidhaa wakati wa tendering. Je, Kuna Mwongozo WOWOTE wa kisheria au Kanuni?
Mfano ..Kama Bei ya nyama sokoni ni Sh.8000/ ,au Sembe Kg ni Sh.1500/
Hapo Bei za Zabuni zinakuwaje?
NA BADO KUNA KODI YA STOO
Kwa kodi hizi za kimafia haziwezi zikaleta maendeleo, ni sawa na kichaa aanetaka kuibeba ndoo kwa kuingiza miguu yake na kujaribu kuibeba,
Na hii mikodi yote iliyokuwepo kuna kipi kipya cha kujitambia kilicholetwa na hizi kodi ? Na bado mnaendelea kuomba mikopo kutoka...
Unaamua kufanya biashara mtandaoni halafu huweki bei, lengo lako ni nini?
Inakera sana unakuta ukurasa umejaa watu wanauliza bei halafu hazijibiwi au wakijibu ni jibu la 'njoo DM' au 'piga namba hiyo hapo' ama 'kwa maelezo zaidi njoo WhatsApp'.
Kwani mkiweka bei kila mtu akaona mnapungukiwa...
Nadhani inabidi kuirejea hii ajenda ya katiba mpya, ni kweli wananchi wanaitaka au ni wanasiasa ndio wanaitaka?
Kenya Wana katiba mpya, lakini bei za bidhaa ziko juu mpaka Leo Erick Omondi kaandamana Bungeni na akapigwa mabomu na kukamatwa. Na sisi wa katiba ya zamani bei ziko juu.
Tozo ziko...
Habari za leo marafiki, vijana wenzangu, wakubwa wangu na maboss zangu,
Naomba tushiriki huu majadala kwa kupiga kura ikiwezekana tutolee na maelezo.
Karibuni
(Picha mtandoni)
Utangulizi
Ugumu wa maisha umesababisha ongezeko la umaskini hapa nchini. Wananchi wengi wamekosa mahitaji kwa sababu ya mapato yao kuwa madogo hali ambayo imewafanya wananchi kuishi kama watumwa wakitafuta angalau kidogo cha kutia mdomoni.
Wananchi wengi ndani ya sehemu...
Hali ya maisha mtaani ni tia maji tia maji kwa misemo ya watu wa kipato cha chini, yaani hali ni tete kweli kweli. Kila ukienda kununnua bidhaa unakuta bei mpya ikiwa imepanda maradufu. Yaweza kuwa hata mara mbili ya bei ya awali uliyonunua kipindi cha mwisho. Jambo hili linafanya maisha kuwa...
Unbelievable yaani mafuta ya kula ya Korea litre 10 ni 67000/=
Unga wa ngano 25kg ni 44000/=
Sabuni takasa box moja ni 17000/=
Sukari 25kg ni 63000/=
Soda zilianza kuadimika hata kabla ya vita
Na hizo bidhaa zilianza kupanda hata kabla ya vita
Mwaka jana mwezi kama huu wa tatu sukari pekee...
DEFLATION
Hiki ni kipindi ambacho bei za bidhaa hushuka, na hufanya thamani ya pesa kuongezeka.
Hapa ndio unajikuta ukienda sokoni na 10,000 unanunua mahitaji yote ya week na change inabaki.
Chanzo cha kushuka kwa bei.
1.Economies of scale.
Kampuni ikiweza kuzalisha bidhaa nyingi na...
Kwa siku za karibuni mtaani tumeshuhudia kupanda kwa bei ya bidhaa mbalimbali kuanzia pembejeo za kilimo (mbolea), sukari, mafuta ya kupikia, mafuta ya vyombo vya moto kwa maana ya dizeli na petroli, gesi majumbani pamoja na bidhaa za vyakula.
Je, sababu ni nini? Siasa au?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.