Habariinii
Swalii kama linavyojieleza wadau ni mkoa gani naweza kwenda kununua mchelee wa bei za chini na ukawa fresh bila kuwa na chenga nyingii. Yanii unaweza tu kununua ukaupaka mafuta na kuupeleka.
Nachukuwa mchele morogoro aisee nimeshachoka mchele wenyewe faida ndogo afu pia ukiugrediii...