Serikali mkoani Singida, imeonya wafanyabiashara watakaopandisha bei za vyakula kuelekea mfungo wa Ramadhani, kwa Waislamu na Kwaresma kwa Wakristo, huku ikisema haitavumilia hatua yoyote ya kujinufaisha kipindi hicho, kwa gharama kubwa ya wananchi.
Soma Pia: Mufti na Sheikh Mkuu Abubakar...
Mara nyingi utasikia mtu tena mfanyakazi anayelipwa mshahara analalamika mkoa fulani bei za vyakula ziko juu ni mgumu kuishi wakati kiuhalisia vyakula vyote vya msingi bei hazijatofautiana sana
Kwa mfano mchele mzuri utakuta 2000-2500
Mahindi kilo utakuta 700-1000
Maharage utakuta 3000-3500...
Takriban watu milioni 55 wanakabiliwa na kitisho cha njaa katika kanda ya Afrika Magharibi na Kati kutokana na kupanda kwa bei za vyakula.
Taarifa ya pamoja iliyotolewa na Shirika la Mpango wa Chakula duniani WFP, Shirika la kuhudumia watoto UNICEF na lile la Chakula na Kilimo, imesema kuwa...
Ndugu zangu,
Bidhaa ghafi kama sukari inakimbilia TZS 5,000+ halafu Waziri wa Kilimo anatuambia mashamba ya miwa yamejaa maji... ina maana mipango na mikakati ya serikali ni namna wanavyosurvive leo na hawana 10+ years plan.
Serikali haina akiba ya chakula ndiyo maana soon watakimbilia...
Ndugu zangu leo nimestaajabu pale wife aliponiambia, mchele sasa hivi kg moja inaanzia 2400 kwa kilo hadi 3000.
Tofauti na hapo awali bei ilikuwa inaanzia 2800 hadi 3500 kwa kilo.
Mafuta ya kupikia nayo yameshuka kutoka 4500 kwa lita hadi 3800.
Maharage na mahindi nayo yamashuka kwa...
Miezi ya mwanzo wa mwaka 2023 Bila ubishi tumeona kupanda Sana kwa bei za vyakula.
Hii imekuwa wazi mno Halina mjadala kama tulivyozoea kulishwa na mamlaka husika mfano NBS wakusanya takwimu waje na takwimu ndio waseme kuna mfumuko wa bei katika bidhaa za vyakula.
Kiukweli bei zimepanda Sana...
Kumekuwa na hoja kutoka siasa za upinzani, wakidai kwamba kuna uwezekano wa bei za vyakula kushuka iwapo tu tungekuwa na Katiba Mpya.
Hii ni hoja inayowavutia sana wananchi ila hakuna hata kiongozi mmoja wa upinzani aliewahi kueleza ni kwa jinsi gani jambo hili linawezekana.
Tafadhali kama...
OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS), imetabiri kwamba mfumuko wa bei za bidhaa za vyakula na vinywaji baridi unatarajiwa kupungua kwa asilimia moja katika kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka huu.
Pia imesema mfumuko wa bei kwa ujumla unahimilika kwa kuwa bado uko kwenye tarakimu moja.
Mtakwimu...
Wakuu kwema!
Hali ya bei za vyakula inatishia kwelikweli, mawaziri husika hawaoneshi jitihada zikaeleweka na bei zikashuka kwanini wasijipime na wakaamua kutupisha na Ili tupate watu wanaoweza kudhibiti Hali hii.
1. Mchele 3000-4000/-
2. Maharage zaidi ya 3500/-
3. Unga zaidi ya 2000/-
4. Nk...
Wakuu kwema! Hali ya bei za vyakula inatishia kwelikweli, mawaziri husika hawaoneshi jitihada zikaeleweka na bei zikashuka kwanini wasijipime na wakaamua kutupisha na Ili tupate watu wanaoweza kudhibiti Hali hii.
1. Mchele 3000-4000/-
2. Maharage zaidi ya 3500/-
3. Unga zaidi ya 2000/-
4.Nk...
Serikali imekiri kuwepo kwa ongezeko la bei za vyakula nchini, kutokana na upungufu wa mvua na mahitaji makubwa ya chakula ndani na nje ya nchi.
Kauli hiyo ya Serikali imekuja wakati kukiwa na taarifa za ongezeko la vyakula kutoka kwa wafanyabiashara.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini...
Hii ndio Chadema
Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika amesema Serikali inatakiwa ieleze ndani ya Bunge na Nje imejipangaje kukabiliana na baa la njaa linalokuja na bei kali za bidhaa zinazoongezea wananchi ugumu wa maisha
Aidha Mnyika aliwataka polisi wamtajie kifungu cha Sheria...
Wakati bei za vyakula zikizidi kupanda katika maeneo mbalimbali nchini, wakulima wametaja sababu tatu za hali hiyo, wakiitaka Serikali kuingilia kati.
Miongoni mwa sababu hizo, eneo ambalo wanataka Serikali iingilie kati ni kufurika kwa wanunuzi wa nafaka kutoka nje ya nchi. Sababu nyingine ni...
Leo hii bei ya nafaka kama mchele na unga imepaa maradufu kabla ya ya huyu mkuu wa nchi kuingia madarakani.
Kabla ya kuingia madarakani mchele ulikuwa ukiuzwa sh 1200 kwa kilo . Sasa hivi Mchele unauzwa sh 3600 kwa kilo.
Huko mitaani wananchi wanalia juu ya ugumu wa maisha. Maana uchumi...
Wakuu sina mengi hizi ni sababu zangu kutokana na hali halisi iliyopo huku mashambani kunakofanyika kilimo..( nipo kilombero morogoro)
ZAO MPUNGA
Bei ya kukodi shamba Ni laki 2 kutoka laki 1 msimu uliopita
Bei ya kuvuruga ni laki moja na 40 kutoka 80elf msimu uliopita
Bei ya kupanda ni laki...
Kama hana hiyo taarifa basi mfikishieni hizi taarifa.
Mchele kwa sasa low quality unaupata kwa 3000-3200, high quality unaenda mpaka 4000. Unga, maharage, dagaa, tambi, ngano zote zinazidi kupaa.
Wakati kama huu sasa ndiyo tulitakiwa tuone matumizi sahihi ya tozo, eneo la vyakula ni nyeti sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.