beira boy

  1. Halland pure talented striker

    Ukizungumzia mastriker wenye umri mdogo ulaya na dunian kwa ujumla huwezi acha kumataja huyu dogo anaecheka na nyavu kila siku dogo hallanda Kwa watu wa man untd miyoni mwao watakua wanajilaumu kutokana na kumkosa huyu bwana mdogo Tangu ajiunge na Dortmund huyu dogo adi sasa kacheza mechi sita...
  2. X

    Vihoja wanavyofanya mwaka wa kwanza pindi wanapoingia chuoni kwa mara ya kwanza

    Wanafunzi wanaoendelea na masomo vyuo vikuu vya Tanzania hujishughulisha na shughuli mbalimbali za kuwakaribisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza, ikiwemo mizaha na vicheshi miongoni mwa wanafunzi wenzao. Mabadilishano haya ya ucheshi husaidia wanafunzi wapya kuhisi sehemu ya utamaduni wa jumla na...
  3. M

    Nini kimepelekea Kadinali Pengo kuondolewa kwenye tovuti ya Jimbo Kuu la D'Salaam?

    SOURCE: Website ya Jimbo Kuu la D'Salaam Nimeshtushwa kuondoloewa kwa Kardinali Polycarp Pengo kwenye website ya Jimbo Kuu la D'Salaam. Ukiisoma inaonyesha Jude Thadaeus Ruwa'Ichi ndiye Askofu Mkuu wa Jimbo hilo na Eusebius Nzigilwa ni Askofu Msaidizi. Jamani nikumbusheni. Je, inawezekana...
  4. Dem ananishangaa tabia yangu.

    Oy oy it'z another beautiful day,,by the way kidhungu ni kisanga acha nikaushe nirudi kwenye Lugha ya taifa,,Mko vyema wanajamvi?!....Bac aikatai,,,Kuna mamiloo tunapiga nae book apa chuo,asa uyu mamdii amekua akikimbiza kinyama class kwa kila medani iwe ya kimataifa hadi ya tarafa,Obvious hana...
  5. Nitapiga mtu nimpoteze aseee.!!

    "Hivi vibishoo vis*nge sana,Eti vinatembea vimebeba vibegi vinaweka na nywele dawa,vimenyoa viduku,Headphone kila saa masikioni!Simbilisi kabisa..!!Eti swagga!?alaf vinaibuka Nyumbani kuvizia wadogo zetu Qumamake yani nikikashika nanyoa kiduku asee Tena kwa bati,Ndorobo kabisa,Kiruu!!"Hiyo ni...
  6. Hii tabia imeshakuwa kero sana

    Hakuna kitu kinachoitwa hasira una mizuka yako ya kukata gogo maeneo haswa ya vyoo vya sehemu ya starehe au stand unaingia unapishana na mtu anatoka msalani kavaa vizuri kabisa unaingia tu hamadi unakutana na gogo hata halijasafirishwa lipo limejaa kwenye tundu yaani mpka mzuka wa kukata gogo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…