beki

Beki is a title of nobility used by the Mongols and other steppe societies in the Central Asia in the medieval period. The exact meaning of the title is disputed, although possibly meant "honored shaman", and while frequently used for noble women, some men also used the title.

View More On Wikipedia.org
  1. Kupenda Sifa za Kijinga, Udhaifu wa Kukaba ndani ya Sita na Kujiamini kulikopitiliza kwa Beki Henock Inonga kumetugharimu zile Goli 2

    Wala simlaumu Kipa Ali Salim kwa Kufungwa Goli zile Mbili ( hasa lile la Pili ) kama ambavyo Wengi wenu mnamlaumu ila GENTAMYCINE nalia na Beki wetu Henock Inonga ambaye zaidi ya mara Mbili hapa hapa JamiiForums nimeshamuanzishia Threads kuelezea Madhaifu yake na kwamba yasiporekebishwa ipo Siku...
  2. Beki wa kulia kisiki Kouassi Yao Attohoula aongoza kwa assists katika mechi tano za NBC PL zilizochezwa mpaka sasa

    Beki huyu kisiki ndiyo litmus paper ya nini na vipi beki wa kulia anavyotakiwa acheze Anakaba,ana dribble,anafanya interceptions za mashambulizi ya wapinzani,anashuka na kupanda kirahisi kwenye flank yake bila kumhatarisha kipa wake. Yao Yao ndo SI Unit ya beki wa kulia aweje...
  3. Beki Che Malone Fondoh ni mgonjwa, anahitaji matibabu ya haraka

    Kuwa na Afya njema ni zaidi ya kukosa maumivu mwilini, jeraha au kuvunjika mifupa. Mpira unachezwa na mwili pamoja na akili. Mchezaji che Malone amepata ajali ya gari usiku pale maeneo ya Mikocheni jirani na shule ya FEZA. Hata kama mchezaji wetu huyu kisiki Che Malone hakupata majeraha ya mwili...
  4. Ili kukilinda Kipaji cha Beki Tshabalala kinachopotea, kuanzia sasa nikimuona Kawe kwa 'Goma' lake 'nampopoa' na Mawe

    Na kinachonikera zaidi hilo Goma lenyewe anashea na Wachezaji Wenzake Mkude na Nyoni hivyo kwa Kiwango chake Kushuka na Mpira mbovu alioucheza jana kuanzia sasa ( leo ) nawaahidi wana Simba SC wote ili Kumlinda Beki Tshabalala na Kiwango kisipotee nikimuona tu Kawe na Gari yake akielekea Mitaa...
  5. Eric Bailly, Beki wa Manchester United atua Besiktas

    Beki huyo wa kati ambaye msimu uliopita aliitumikia Marseille ya Ufaransa kwa mkopo, amekamilisha mchakato wa kutua Besiktas ya Uturuki baada ya kukosa nafasi chini ya Kocha Erik ten Hag. Bailly ambaye alisajiliwa Mwaka 2016 chini ya utawala wa Kocha Jose Mourinho akitokea Villarreal amecheza...
  6. FUFA yawakana Yanga SC na Uwongo wao kuwa Beki Gift Fred kaitwa Timu ya Taifa ya The Cranes

    "Mchezaji Gift Fred hajaitwa katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) na Wachezaji Wote walioitwa tumewataja na wanajulikana" amesema Afisa wa Shirikisho la Soka nchini Uganda (FUFA) Chanzo: Sports Extra ya Clouds FM Usiku huu. Taratibu sasa GENTAMYCINE naanza kuona Mapungufu...
  7. Azam FC, Simba FC na Yanga SC mnunueni beki wa Mashujaa "Shedrack"

    Huyu beki wa Mashujaa ni balaa - hamutajutia kumsajili katika vilabu vyenu. Ni ushauri tu
  8. Graph ya Beki Mohammed Hussein Tshabalala Kiuchezaji inapungua sana mwambieni 'Bata K' zake 4 zinammaliza

    Huko nyuma alikuwa na Nidhamu sana ( kwa kuwa Mtu wa Ibada na Kuchukia Starehe ) ila GENTAMYCINE nimesikitika mno tokea mwaka jana ( Msimu ulioisha ) hadi huu wa sasa ulioanza Kiwango chake kimeshuka na kinaendelea tu Kushuka. Tafadhali mliyenae Karibu mwambieni aachane na 'Bata K' zake za...
  9. Kuishi na msaidizi wa kazi za ndani

    Katika nyumba nyingi au familia nyingi kumekuwa kunauwingi wa kazi, hivyo huhitajika msaidizi ambaye huitwa Housegirl au Dada aka Beki 3. Mabosi wengi wamekua wakisikika wakisema mabeki tatu ni watamu kuliko wake zao wandoa, kiukweli ni kwamba kama kuna housegirl (Beki 2,3,4) katika nyumba...
  10. Yanga SC bwana yaani Beki huyu Mbovu Gift Fred wa Uganda ni wa Kumsajili kwa Tsh Milioni 115 Kweli?

    Yaani ni Free Agent baada ya Mkataba wake Kuisha huko SC Villa na aliyekuwa Kocha Wenu Micho Kawadanganyeni mumchukue mmeingia Mkenge kweli na Kumsajili. Uganda ni my Second Home na nina Rafiki zangu wengi sana huko na kila ninayemuulizia kuhusu Uwezo wa huyu Mchezaji jibu la haraka ninalopewa...
  11. Ukisikia jina la beki Kelvin Yondan unakumbuka wapi?

    haya leo tumkumbuke legend mwenyewe Kelvin Yondan Engineer Cotton Juice Pamba. Unamkumbuka Yondan kwa lipi?
  12. Nini kilimkuta beki wa USA katika goli hili la Ghana?

    Kuna goli moja aliwahi kufunga mshambuliaji wa Ghana, Asamoah Gyan katika Kombe la Dunia 2010 katika mechi ya Ghana vs USA. Wakati Gyan anaelekea kufunga aligongana na beki wa USA, Carlos Bocanegra (jersey # 3) ambaye alionekana kupoteza uelekeo huku akiangaza juu, halafu Gyan akapata fursa ya...
  13. Sioni sababu ya Watu (hasa wana Simba SC ) Wenzangu Kulalamikia Tuzo ya Beki Bora aliyopata Dickson Job

    Wana Simba SC Wenzangu hivi kweli tukuacha Unafiki wetu na Roho Mbaya yetu iliyopitiliza Beki wetu Henock Inonga kacheza vyema kwa Msimu huu kuliko Beki wa Yanga SC Dickinson Job? Dickson Job ambaye Kacheza vyema Beki wa Kati, Beki za pembeni ( Kulia na Kushoto ) na Kazimudu villivyo unaweza...
  14. Ambangile: Inonga ndio beki bora wa kweli na halali

  15. Kamati ya Tuzo TFF imetumia vigezo gani kuchagua Beki Bora wa Ligi ya NBC?

    Jamani ebu tufahamishane vizuri hapa wote tujue. Dickson Job kapewa tuzo ya Beki Bora kwa Criteria gani? Haya tuliyaona TMA na tuzo zao za CUBA, leo hii kwenye NBC mambo kama yanajirudia.
  16. S

    Simba Imekamilisha Usajili wa Beki Devid Kameta Duchu

    - Nyota David Kameta ‘Duchu’ aliyesajiliwa na Simba kutoka Lipuli FC ya Iringa miaka mitatu nyuma na alicheza Simba kabla ya kutolewa kwa mkopo Geita Gold na Mtibwa amesaini kandarasi mpya ya kuitumikia Simba wakati mkataba wake ulikuwa unaelekea ukingoni mwishoni mwa msimu huu. -David amekuwa...
  17. Yule Beki wa Marumo Gallants Tshepo Gumede wa Marumo Gallants alikimbizwa na Yanga Fiston Mayele Akubali Mziki Wake, Afananisha na Ronaldo

    Tshepo Gumede beki wa Marumo Gallants ambaye Mayele alimfanyia ukatili mkubwa akimuwekea mpira mbele kisha kuanza kumkimbiza na akampita na kuwahi mpira licha ya beki huyo kuwa mbele yake kabla ya kuanza mbio hizo. Haikuwa kukimbiza pekee Mayele akaenda kutoa pasi ya maana akimlipa Kennedy...
  18. Nimesikitika kuona Beki Djuma Shaban na Zanzibar finest Ibrahim Bacca hawapo kwenye orodha ya tuzo TFF

    Nimeshangaa sana kuona hao mabeki hawapo katika orodha ya mabeki bora katika msimu huu wa NBC PL 2022/2023, Pamoja na michango yao mikubwa sana katika timu zao. Mbali na hayo, Hivi unaanzaje kuwataja viungo bora bila kumtaja Khalid Aucho? Au TFF mmeamua kuweka balance tu bila uhalisia? Kwa...
  19. Beki wa Kimataifa Henock Inonga atumike kama 'Blueprint' ya Usajili wa Wachezaji wa Kimataifa wa Simba SC kwa Msimu ujao

    GENTAMYCINE nataka Wachezaji wote wapya wa Kigeni watakaosajiliwa na Simba SC kwa Msimu ujao wawe na Sifa Kuu hizi zifuatazo za Mchezaji Henock Inonga..... 1. Kujiamini mno Uwanjani 2. Uwezo mkubwa sana 3. Control ya uhakika muda wote 4. Akili nyingi Uwanjani 5. Mwenye Ari ya Upambanaji 6...
  20. B

    Serikali imfanyie uchunguzi Mwamnyeto, inawezekana ni forward au kiungo halafu anatuzuga ni beki

    Sina mengi wenyewe mmeona kwenye mechi ya Leo tarehe 23 April 2023 wakicheza Yanga na Rivers United huko Nigeria Naomba kuwasilisha
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…