bela kombo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Muimba wa Gospel Bela Kombo jitafakari, mavazi yako si ya Staha

    Unajua kuimba lakini ni lazima ufahamu kwamba, Mavazi ya kubana nyama hayakubaliki kwa Watumishi wa Mungu, Unataka kumuonyesha nani hayo maungo yako na ili iweje? Huwezi kuvaa kama Rihanna halafu ukamtukuza Mungu, iko mipaka kati ya watu wa Dunia na wacha Mungu. Nakukemea, Badilika haraka .
Back
Top Bottom