Enyi wafanya biashara wa secondhand | Used | Mtumba
Nguo | Viatu | Mikoba/School bags nk.
Ni wapi unanunua bidhaa zako kati ya Tanzania | Kenya | Uganda?
Sababu zipi zinakushawishi kununua bidhaa point A badala ya Point B au C?
Vitu gani unazingatia hasa unapoamua kununua kati ya nchi...