benchika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Angalizo: Yanga kumtimua Gamondi wategemee ya Benchika kutokea

    Iwapo Young Africa Wana wazo la kumfuta Kazi kocha Wao GAMONDI basi na Wategemee kocha ajae ataja sema Yale Yale ya BENCHIKA kuwa wachezaji hawafundishiki!
  2. Tetesi: Kocha Miguel Gamondi kwenda kurithi mikoba ya Benchika akifutwa kazi JS Kabylie

    Kocha Miguel Gamondi yupo kwenye orodha ya Makocha wanaohitajika na klabu za Afrika Kaskazini. Kulingana na taarifa za ndani, klabu ya JS Kabylie inataka kumteua kocha wa Yanga SC, Gamondi kama kocha wao mpya endapo Abdelhak Benchikha atafukuzwa kazi kufuatia mwenendo mbaya wa timu hiyo.
  3. D

    Mke wa Benchika kapona!

    mke wa aliyekuwa kocha wa simba BENCHIKA, kocha la caf. amepona. 😂😂
  4. Timu ya wanawake ya Simba yashinda kombe ligi kuu msimu wa 23/24 chini ya kocha Mgunda

    Baada ya vuta nikuvute ya hapa na pale kati ya wababe Simba, Yanga na JKT, hatimaye timu ya Simba wanawake wameibuka mshindi wa kombe hilo la Ligi kuu wanawake baada ya kuifunga Alliance girls ya Mwanza kwa bao tatu kwa nunge. Ushindi wa timu hiyo umechagizwa na uhodari wa kocha Juma Mgunda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…