Kutokana falsafa yake wakati anaiongoza RS Berkane, USM Alger(Timu pekee nilizomfuatilia) nilikua na ukakasi wa mapokezi ya falsafa ya Benchikha kwa wanasimba. Lakini niweke wazi, Once facts change, I change too.
Japo ni mapema kuyasema haya, lakini wahenga mnasema nyota njema huonekana...