bendera ya taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Tuweke rekodi sawa, Kuna bendera ya Taifa duniani inayovutia kama ya Tanganyika?

    Zipo bendera za Taifa duniani zenye kuvutia, Lakini tuweke sawa kumbukumbu, hivi hapa duniani, Kuna bendera nzuri ya Taifa kuliko Ile ya Tanganyika? Nakupenda sana Nchi yangu Nyikani . Nawasilisha, Karibuni🙏
  2. Squidward

    Marufuku kuvaa nguo yenye bendera ya Tanzania bila kibali!

    Wakuu hili suala la serikali kupiga marufuku uvaaji wa nguo ya aina yoyote yenye bendera ya Tanzania mnalichukuliaje, binafsi naona inamnyima Mtanzania kuwa huru na nchi yake kwa kujivunia rangi nzuri za bendera kupitia shati au kacha. Alafu inaleta uzalendo kwa kiwango kikubwa sana...
  3. Mlenge

    Bendera ya Taifa: Kwanini wananchi hawako huru kuibeba au kuitumia?

    Nianze na swali: Hivi unaweza kupeperusha bendera ya taifa mahali uishipo hata ikiwa wewe si kiongozi mtaani? Nakumbuka wimbo ufuatao tuliimba chekechea, ile iliyoko pale karibu na 'Holofea' kama tulivyozoea kupatamka: Bendera ya Tanzania, Ndio ya kujivunia, Ilianza kupepea, Mwaka sitini na...
Back
Top Bottom