bendera ya tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kama walivyokamatwa waliotupa noti kwenye sherehe ya harusi Mwanza ndivyo waliobandika picha ya Samia kwenye bendera ya taifa wakamatwe

    Bendera ya taifa la Tanzania inalindwa na katiba imo ndani ya katiba ya Jamuhuri ya Tanzania kwa kutaja rangi ilizonazo na vipimo na uwekaji miraba ya hizo rangi. Ilitokea Zanzibar ambako kwa mara ya kwanza zilionekana bendera za taifa la Tanzania zikiwa pamoja na rangi yake imeongezwa picha ya...
  2. Bendera ya Tanzania yapeperushwa vyema nchini Rwanda

    Kikundi cha Maafisa na Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Vyombo vya Usalama na Taasisi mbalimbali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kilichoshiriki Zoezi la 13 la Medani la Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki “FTX Ushirikiano Imara 2024” lililofanyika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…