Baada ya waarabu kueneza tabia ya kuchana na kuchoma Bendera za Marekani sasa Rais wa Marekani amekuja na Muarobaini wa kuamua kuwafunga a kuwafukuza Marekani wote watakaofanya vitendo hivyo vya kihuni!!!
Pia amewataka wote ambao hawaipendi Marekani waondoke huko warudi uarabuni haraka sana!