Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imewahukumu kunyongwa hadi kufa Emanuel Patson Mwesya [24] na David Saimon Mwalindu [25] wote wakazi wa Mji wa Tunduma Mkoa wa Songwe baada ya kukutwa na hatia kwa kosa la mauaji walilolifanya kwa kumuua Lufingo Asumwisye [37] aliyekuwa Mkazi wa Kijiji cha...