benjamin netanyahu

  1. Echolima1

    Waziri mkuu wa israel benjamin netanyahu asitisha kuachiwa kwa magaidi 620

    Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu imetangaza kuwa magaidi 600+ ambao walikuwa wamepangwa kuachiliwa leo kutoka magereza nchini Israel, badala ya mateka 6 walioachiliwa leo asubuhi kutoka Gaza, hawataachiliwa kutokana na kuendelea kwa Hamas "ukiukaji na udhalilishaji" wa mateka...
  2. Webabu

    Netanyahu na Trump wamechanganyikiwa kuhusiana na Hamas. Imekuwa kaa la moto. Waropokwa ovyo

    Njama dhidi ya Palesina,Gaza na Hamas zimeshindwa vibaya mpaka sasa kiasi kwamba wahusika wakuu kutoka Marekani na Israel wamekuwa wakiropokwa ovyo. Raisi Trump wiki mbili zilizopita alitoa ya moyoni yaliyokuwa wameyaficha pale aliposema anataka awahamishe wapalestina na kupajenga upya...
  3. U

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahau amteua Meja Jenerali Eyal Zamir kuwa Mkuu mpya wa Majeshi

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amemteua Meja Jenerali Eyal Zamir kuwa mkuu mpya wa majeshi ya Israel (IDF), akichukua nafasi ya Luteni Jenerali Herzi Halevi, ambaye ataondoka madarakani Machi 6. Uteuzi wa Zamir unakuja wakati Israel inakabiliwa na changamoto kubwa za kiusalama...
  4. Mindyou

    Donald Trump amualika Benjamin Netanyahau Ikulu ya White House. Vita ya Gaza inaelekea kuishia?

    Rais Donald Trump amemualika Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, kutembelea Ikulu ya White House wiki ijayo, ikiwa ni ziara ya kwanza ya kiongozi wa kigeni katika muhula wake wa pili. Ziara hii inakuja wakati Marekani inashinikiza Israel na Hamas kuendeleza usitishaji mapigano...
  5. Eli Cohen

    Pongezi kwa Netanyahu kwa kusuasua kwa muda mrefu katika kufanya maridhiano ili ajipatie nafasi ya kuwakanda vilivyo hamas

    Hamas walitegemea watachapwa hata miezi 3 alafu UN na Iran waingilie kati wawaokoe ila kilichofatia ni miezi kadhaa ya kusaidiwa kwenda kugombaniana mabikra 72 huko waendapo.
  6. U

    Netanyau aondoka hospitalini kibabe bila ruhusa ya madaktari , ahudhuria kikao muhimu cha bunge la bajeti akiwa dhaifu

    Wadau hamjamboni nyote? Madaktari wamemzuia yeye akagoma na kuondoka kuelekea bungeni Mwamba huyo ana siku 2 tu tokea afanyiwe upasuaji na anatakiwa aendelee kuwepo hospitalini Kwa siku kadhaa Ameonekana akiwa dhoofu na amechoka (drawn and tired) kutokana na kuugua Anatarajia kurudi...
  7. kwisha

    Canada is the next india

    Sio kila unachokipanga ndicho kitakacho kamilika Msemo uo umemkuta waziri mkuu wa Canada Justin trudeau Aliingia madarakani mwaka 2015 - mpaka sasa Justin trudeau alivyoingia madarakani akaja na system yake ya immigration. Kwa maono yake alikuwa anataka kuingiza temporary immigration kama...
  8. Webabu

    Wanaoingia madarakani Syria ndio watakaosaidia utetezi kwa Wapalestina na kuiondoa madarakani serikali ya Netanyahu

    Siku mbili tangu raisi Bashar Al Assad aondolewe madarakani kutokana na upinzani ulioongozwa na wanamgambo wa chamba cha Hizbu Tahrir,dalili zote zinaonesha watu hao wanaoingia madarakani si vibaraka wa Marekani wala wa Israel. Mataifa hayo mawili inaonekana yalipigwa chenga sana na harakati za...
  9. kiss daniel

    Katika kizazi hiki cha Z generation Benjamini Netanyau ndiyo kiongozi mtata na mtukutu zaid kumshudia

    Amani kwenu watumishi Wamewahi kutokea viongozi wengi lakin sisi Gen Z hatukuwashudua Lakini katika generation yetu hii huyu jamaa mwamba wa kuitwa Benjamini Netanyau ndo mtata zaid kwa sasa Trump ni jeuri tu lakini si mtata kama jamaa Huyu jamaa harudigi nyuma IQ kubwa sana
  10. M

    Ni kweli Bashar Al Asad ameomba back up kwa Benjamin Netanyahu?

    Habari zimesambaa kwenye forums mbalimbali ikiwemo Quora na nyingine za kiyahudi, kwamba Rais wa Syria Bashar Al Asad hivi majuzi alimpigia simu Benyamin Netanyahu kumuomba amsaidie kupambana na waasi wanaoonesha ku advance kwa kasi kwenye miji muhimu licha ya mashambulizi ya anga yanayofanywa...
  11. 5523

    Israel kukata rufaa dhidi ya vibali vya ICC vya kukamatwa kwa Netanyahu na Gallant

    Wakuu, Israel itakata rufaa kupinga hati ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ya kukamatwa kwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na waziri wa zamani wa ulinzi Yoav Gallant. Majaji wiki iliyopita walitoa vibali kwa watu hao wawili pamoja na kamanda wa kijeshi wa Hamas Mohammed Deif, wakisema kuna...
  12. green rajab

    Canada na Uswizi zatangaza kumtia mbaroni Benjamin Netanyahu akigusa ardhi yao

    Mataifa ya Ulaya na Amerika yanaendelea kutoa onyo kwa Gaidi Benyamini Netanyahu zitamtia mbaroni na kumpiga tanganyika jeki atakapo gusa ardhi zao Pia, soma: Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yatangaza hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu ============...
  13. Mindyou

    Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yatangaza hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu

    Wakuu, Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imetoa hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu, na waziri wa zamani wa ulinzi, Yoav Gallant, kwa makosa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu na uhalifu wa kivita. Uamuzi huu unamaanisha kwamba nchi 124 wanachama wa ICC zinapaswa...
  14. Ritz

    Israel: Netanyahu amfukuza kazi Waziri wa Ulinzi,Yoav Gallant

    Wanaukumbi. Netanyahu kamfukuza kazi waziri wa ulinzi Yoav Gallant kutoka wadhifa wake wameshindwa kuelewana Gallant, kamwambia Netanyahu vita tumeshindwa Inakisiwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa sasa wa Israel Israel Katz atachukua nafasi yake. =============== Netanyahu dismissed defense...
  15. U

    Netanyahu aahidi mamilioni ya dola kuachiwa huru mateka wa Israel wanaoshikiliwa Gaza

    Wadau hamjamboni nyote? Mamilioni ya dola za kimarekani Kwa magaidi wakiachia huru mateka wa Israel. Taarifa zaidi hapo chini kwa kimombo: ========== An Israeli official confirms a Channel 12 report that Prime Minister Benjamin Netanyahu is prepared to offer captors of hostages in Gaza...
  16. Komeo Lachuma

    Video: Mwamba huyu hapa. Wala hajifichi kwenye mashimo. Simba hukaa sehemu za wazi siyo kama panya

    Anafurahi tu anavyogonga mbele na nyuma kwa magaidi. Amekaa tu anapiga stories na washkaji kitaa. Wanampa tano na kupiga naye stories jinsi anavyo fanya micharazo.
  17. MK254

    Iran yasema haikuhusika kwenye jaribio dhidi ya makazi ya Netanyahu, yalaumu Hezbollah

    Iran imekimbilia kwenye kujitetea, ila waambiwa wasubiri papo hapo kipo tu, na muda wote wawe macho yao yanaangaza angani maana hawajui watashukiwa vipi. Vita vya kisaikolojia ========= Iran Denies Involvement in Drone Attack on Netanyahu, Blames Hezbollah Days after Israel eliminated Hamas...
  18. Mindyou

    Video: Benjamin Netanyahu ajitokeza hadharani kibabe baada ya kuwepo na taarifa ya nyumba yake kushambuliwa na drone

    Wakuu, Kuna hii video inasambaa. Baada ya taarifa kutapaka mitandaoni kwamba nyumba ya Benjamin Netanyahu imeshambuliwa na drone kutoka kwa Hezbollah na kusababisha wengi kuhoji usalama wa kiongozi huyo, hatimaye simba huyo wa vita amejitokeza. Soma pia: Makazi ya Netanyahu yaliyopo Caesaria...
  19. U

    Netanyau afanya ziara mpaka wa Lebanon, asema dunia imevutiwa na uwezo na uwezo wa kijeshi wa Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekucha. Waziri Mkuu Benjamin Netanyau atembelea mpaka wa Israel na Lebanon Asema ulimwengu wote umevutiwa na kushangazwa na uwezo mkubwa ulionyeshwa na IDF katika kuwashughulikia magaidi. Soma Pia: Jeshi la Israel IDF laanzisha mashambuluzi ya nguvu nchini Lebanon...
  20. U

    Rais Biden amsihi sana Netanyau asishambulie vinu vya nyuklia vya iran

    Wadau hamjamboni nyote? Rais Biden amuomba Netanyau asilipue kinu cha nyuklia Iran Soma Pia: Naftali Bennett ataka kinu cha nyuklia na mfumo wa kuzalisha nishati Iran kulipuliwa ====== Biden urges against attack on Iran nuclear sites as Israel mulls payback Remains of a ballistic missile...
Back
Top Bottom