https://youtu.be/tpj0t6SIreE?si=gsDZm8sHGCJQkYPJ
Katika mkusanyiko huu wa Waislam chini ya Muslim Development Fund (MDF) Mwenyekiti wake akiwa Mzee Kondo, Mzee Kitwana Kondo alisema kuwa nia ya MDF ni kuwa na Chuo Kikuu na kujenga shule nchi nzima.
Maneno haya Mzee Kondo anawaambia Waislam na...