Rais Samia Suluhu Hassan, amemteua Prof. Abel Makubi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma
Prof. Makubi anachukua nafasi ya Dkt. Alphonce B. Chandika ambaye amemaliza muda wake
Kabla ya Uteuzi, Makubi alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa na Ubongo...