benki kuu tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SoC04 Benki Kuu (BoT) ifanyie kazi maendeleo ya Sarafu za mtandaoni na serikali ipitishe matumizi yake Nchini

    UTANGULIZI Mafanikio siku zote hayaendi kwa watu wanaosubiria hali au mazingira yawe kamili , Bali mafanikio huenda kwa wale wanaojitoa na kufanyia kazi mambo au fursa zote zinazokuja mbele yao. Hivi karibuni kumeibuka wimbi kubwa la matumizi ya sarafu za mtandaoni, kwa nchi zilizoendelea...
  2. Benki Kuu (BoT) yadai kuna watu wameficha dola

    BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imesema nchi haina uhaba wa dola, bali baadhi ya watu wamezihifadhi wakitarajia bei itapanda, ikisisitiza hakutakuwa na ongezeko hilo kutokana na hatua za ndani na nje zinazochukuliwa katika kuimarisha upatikanaji wake. Imezitaja hatua hizo zinajumuisha uamuzi wa...
  3. Benki Kuu Tanzania: Mlioficha Dola zirudisheni kwenye mzunguko

    Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amewataka watu walioficha Dola kwa malengo ya kusubiri zipande thamani na kujipatia Faida zaidi kubwa, waziachie kwenye mzunguko wa Biashara, ili kuondoa uhaba wa Fedha hiyo Nchini. Kauli ya BoT inakuja ikiwa ni wiki chache tangu Mkurugenzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…