Polisi nchini Uganda imethibitisha kuwashikilia maafisa tisa wa Wizara ya Fedha kwa uchunguzi wa tuhuma za kudukua mifumo ya benki kuu na kuiba kiasi cha shilingi bilioni 62 (Dola Milioni 16.87).
Haya yanajiri baada ya wizi mkubwa kutokea Novemba mwaka jana, ambapo Waziri wa Fedha, Henry...