Moja kati ya kazi kuu ya Benki Kuu ni kudhibiti uchumi kazi ambayo inataka uwepo wa washiriki kwa ngazi zote ili maamuzi ya Benki Kuu yaweze kuwafikia wananchi wa kawaida amba wanaaswa kuwa washiriki
Soko la Fedha ndio tegemezi kubwa la Sera ya Fedha, ni wazi kuwa wananchi wakiwa wengi katika...