Leo ilibidi nikathibitishe fursa wanazomwaga redioni hawa jamaa kua unapata credit card nk. Mara ooh wanapokea wanachuo kwa kuwapa fursa ya mkopo pale wanapohitaji kuanza maisha.
Kumbe daah, ukifika ofisini kwao jamaa wana conditions zinazowapendelea wao tu. Credit card hadi account yako iwe...
Nimesikia kwa juu juu tu ukiwa na account katika benk ya ABSA unapata riba kila mwezi kutokana na salio lako lakini pia wanatoa mkopo low condition. Pia unapewa kadi papo kwa papo.
Kwa yeyote mwenye uelewa na habari za Absa anisaidie, kesho nikafungue. Asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.