Leo ilibidi nikathibitishe fursa wanazomwaga redioni hawa jamaa kua unapata credit card nk. Mara ooh wanapokea wanachuo kwa kuwapa fursa ya mkopo pale wanapohitaji kuanza maisha.
Kumbe daah, ukifika ofisini kwao jamaa wana conditions zinazowapendelea wao tu. Credit card hadi account yako iwe...