Karibu na mazingira ya Shule ya Secondary Joketi Mwegero iliyoko Halmashauri ya wilaya ya kisarawe, mkoa wa pwani, hakuna Benk wala wakala wa CRDB kiasi kwamba wazazi tunakosa njia rahisi naya uhakiki kuwatumia watoto hela?
Mnakwama wapi?
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe (wa pili kushoto) akikata utepe kuashiria kuzindua programu ya kuwasaidia wafanyabiashara wadogo na wa kati kushiriki fursa zilizopo katika Soko Huru la Afrika (AfCFTA) inayotekelezwa na CRDB Bank Foundation pamoja na Shirika la Umoja wa Mataifa...
Katika kuendeleza hamasa ya matumizi ya kadi kwa wateja wake na Watanzania kwa ujumla, Benki ya CRDB imepanga kumzawadia mteja atakayekuwa na matumizi makubwa ya kazi zake za TemboCard Visa gari jipya aina ya Ford Ranger.
Sambamba na gari hilo jipya ambalo halijawahi kuendeshwa (kilomita...
Dar es Salaam. Tarehe 24 Februari 2025: Serikali imeipongeza Benki ya CRDB kwa kudhamini Mashindano ya 33 ya Kimataifa ya Kuhifadhi Quran yaliyofanyika Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam.
Pongezi hizo zimeetolewa na Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa aliyemwakilishwa Rais Samia...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Slaa (wapili kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila (wapili kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela wakizindua rasmi...
Katika kuufunga mwaka 2024 kwa huduma bora, Benki ya CRDB imefungua matawi mapya mawili mkoani Mara yaliyopo Mugango katika Wilaya ya Musoma Vijijini na Sirari wilayani Tarime.
Afisa Mkuu wa Biashara wa Benki ya CRDB, Boma Raballa amesema uzinduzi wa matawi hayo ni sehemu ya jitihada za Benki...
Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Kaskazini, Bw. Cosmas Saadat (kushoto) akimkabidhi msaada wa Madawati, Meza na Viti kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Babati mjini Bw Shabaani Mpendu (kulia) kwa shule ya msingi Shikizi ya Muungano Dagailoy ya Wiyala ya Babati, Manyara ikiwa ni mkakati wa...
Majuzi nilifika kwenye hili TAWI Kwa ajili ya kutoa fedha ATM cha kushangaza hapakuwa na option ya kutoa pesa zaidi ya ile ya kuangalia Salio nk.
Ikabidi niwe mpole nikakimbilia kutoa Kwa wakala.Akili yangu ilinituma lile lilikuwa tatizo la muda mfupi nikawa na matumaini litaisha siku hiyo...
Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Majid Mwanga (watatu kulia) akipokea sehemu ya msaada wa magodoro, viti na meza kutoka kwa Meneja wa Benki Uhusiano wa Benki ya CRDB Kanda ya Nyada za Juu Kusini, Pascalia Bura, (katikati) kwa ajili ya Shule ya Msingi ya Majimoto (Shule Maalum), katika hafla ya...
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Bruce Mwile (wapili kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Water.Org, Eng. Francis Musinguzi kwa pamoja wakionesha mikataba ya ushirikiano mara baada ya kusaini makubaliano ya ushirikiano katika hafla fupi iliyofanyika makao makuu ya Benki ya CRDB...
Dar es Salaam. Tarehe 11 Julai 2024: Akizindua msimu wa pili wa kipindi maalum cha televisheni cha elimu ya fedha kwa umma cha zogo mchongo kinachoandaliwa na Benki ya CRDB, Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amesifu jitihada hizo zinazolenga kuwakomboa wananchi...
Tabora. Tarehe 6 Julai 2024: Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameipongeza Benki ya CRDB kwa kushiriki kikamilifu katika mchakato wa kuanzisha Benki ya Ushirika Tanzania ili itoe huduma kwa wanaushirika na wananchi wengine hivyo kuchangia zaidi katika uchumi.
Dkt. Biteko...
Mkuu wa Huduma kwa Wateja Benki ya CRDB, Yolanda Uriyo (wa pili kushoto) akipokea Tuzo ya Ubora wa Huduma ya mwaka kutoka kwa Michael Harris, Mkurugenzi Mtendaji wa Jumuiya ya Utafiti wa Ubora ya Ulaya (ESQR). Wanaotazama ni Mwakilishi kutoka Ubalozi wa Tanzania Brussels, Vivian Rutaihwa (wa...
Afisa Mkuu wa Uendeshaji wa Benki ya CRDB, Bruce Mwile (kulia) akiwa pamoja na Mkurugenzi wa Wateja wa Awali na Kati wa Benki ya CRDB, Bonaventure Paul wakizindua rasmi Akaunti ya Biashara 'CRDB Biashara Account' kwenye hafla ya maadhimisho ya Siku ya Wajasiriamali Duniani iliyofanyika kwenye...
Kuna jamaa yangu mmoja anapanga kuwafungulia mashtaka benki moja maarufu nchini kwa kufanya yafuatayo
1.Kutoa taarifa zake kwa mtu binafsi, ikiwapo benk statement, kuonesha kiasi alichonacho,
2.Pili na kuhold account ya jamaa kisa, anadaiana na mtu akatumia advantage ya kujulikana serikali...
Nairobi, Mei 28, 2024 – Katika jitihada za kuboresha maisha na kukuza uchumi wa masoko inayoyahudumia, Benki ya CRDB imeendesha mjadala uliolenga kujadili ukuzaji wa huduma za benki zinazovuka mipaka ya nchi za Afrika ili kuchochea mageuzi ya uchumi barani Afrika. Mjadala huo rasmi umefanyika...
Katika utekelezaji wa Sera yake ya Uwekezaji kwenye Jamii, Benki ya CRDB imeendelea kusaidia jitihada za Serikali kuboresha mazingira ya elimu nchini.
Jitihada hizo zimefanyika mkoani Manyara, katika Wilaya za Mbulu na Babati, siku chache kabla ya Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Benki ya CRDB...
Arusha 18 Mei 2024 - Wanahisa wa Benki ya CRDB wameidhinisha kwa kauli moja mapendekezo ya Bodi ya Wakurugenzi kuhusu malipo ya gawio la Shilingi 50 kwa kila hisa jambo linalofanya jumla ya thamani ya gawio la mwaka wa fedha 2023 kufikia Shilingi bilioni 130.6, sawa na 30.9% ya faida halisi...
Arusha 17 Mei 2024 - Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Benki ya CRDB kwa kuendelea kutengeneza faida kubwa inayoiwezesha benki hiyo kutoa gawio kwa wanahisa wake kutokana na uwekezaji wao ndani ya benki hiyo.
Rais Mwinyi alitoa pongezi hizo wakati...
Arusha 16 Mei 2024 - Serikali imeipongeza Benki ya CRDB kwa kutoa msaada wa pikipiki kwa Jeshi la Polisi mkoani Arusha ili kuimarisha doria zitakazoongeza usalama kwa watalii wanaokuja nchini. Pongezi hizo zimetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alipopokea pikipiki hizo zenye thamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.