Moshi yetu saafiiiiii saanaaaa
Tutalifanya zoezi letu kuwa endelevu kila mara kujenga tabia hii njema ya kuchangia damu,
Na haya ni malengo endelevu ya group kufanya mambo mbalimbali ya kijamii na baada ya uchangiaji damu tutaelekea jambo lingine bora na kubwa kwa jamii sooon tutaliweka wazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.