Utangulizi.
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilianza kutekeleza mradi wa mfuko wa maendeleo ya jamii yaani Tasaf, kuanzia mwaka 2000.Lengo ni kutokomeza umasikini kwa wananchi.
Mpango ukawa ni kujenga kinga ya jamii kiuchumi,na katika katika maboresho ilipofika mwaka 2012 kama...