Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania, Bi. Ruth Zaipuna Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na...
Poleni na majukumu ya Kila siku.
Mwezi wa tano nilimfungulia biashara ya uwakala mke wangu, nikajenga duka na lilipokamilika nikawa nimebakiwa na fedha kidogo Kama mtaji, baada ya biashara kuanza nikaona Umuhimu wa kupanua biashara.
Nikawahi Benki ya NMB na kupata mkopo wa fedha kidogo ili...
Benki ya NMB Tabora wamekuwa na huduma mbovu.
Huduma inayotakiwa kutolewa na watu watano ila inatolewa na mtu mmoja.
Wateja wanapoteza muda mrefu bila kupata huduma.
Mfano mtu nataka kujua salio anaweza kutumia lisaa limoja mpaka mawili anasubiri wahudumu, Lakini wahudumu hakuna yupo mmoja tu...
Kwa kweli hii namba ni kero sana., unapiga dakika za kutosha(kumi na zaid), unakata kisha unapiga tena simu haipokelewi. Badala yake, unaambiwa uendelee kusubir mpaka unaamua kuacha /kukata.
Simu nilianza kupiga tangu juzi ila mpaka leo sijafajikiwa, na sababu ya kuwapigia ni matatizo...
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda leo tarehe 21.11.2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna ambapo wamezungumzia mambo mbalimbali ya kikodi.
Habari wakuu,
Nahitaji kuhamisha kitita cha dollar 1.5 kutoka NMB Chap Chap Account kwenda Prepaid Account.
Sijawahi kutumia NMB Mkononi japokuwa nimeunganishwa kupitia Vodacom
Nifuate hatua zipi wakuu?
Nina 200 as normal balance kwenye vodacom kwa maana ya nikikosea mara mbili imekula...
Habari naomba kuuliza au kupata msaada kutoka NMB kadi kutoka wilaya moja hadi nyingine inachukua muda gani kufika na mnazisafirisha kwa njia ipi?
Nime-renew kadi nikaambiwa niende baada ya siku 10 nimeenda kadi imetumwa wilaya nyingine ni j5 ya week iloisha nikaambiwa niijie ijumaa yani leo...
Wakuu, nawezaje kuangalia Balance yangu ya NMB bank kupitia Internet ambapo siwezi kukatwa kiasi chochote cha hela?
NOTE: Sihitaji NMB App maana naona inasumbua sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.