Hatimaye kila kijana anapenda biashara, kila kijana anafanya ubunifu wa wazo la biashara na bidhaa, sasa ujasiriamali sio dhana ya wale akina mama wanaotengeneza zile sabuni nyeusi nyeusi za vipande bali ujasiriamali wa sasa unachukuliwa kama dhana ya vijana waliothubutu kujiajiri na kupewa cheo...