Wapambanaji wenzangu wenye lengo la kumiliki bajaj, guta au pikipiki na pesa uliyonayo haitoshi kupata chombo kipya ngoja nikusanue labda unaweza kupata muongozo uanzie wapi
1. Kuna bank kama CRDB na MAENDELEO BANK wanatoa bajaj zenye rejesho nafuu kwa msaka tonge ila shida ipo kwenye vigezo...
Hatimaye kila kijana anapenda biashara, kila kijana anafanya ubunifu wa wazo la biashara na bidhaa, sasa ujasiriamali sio dhana ya wale akina mama wanaotengeneza zile sabuni nyeusi nyeusi za vipande bali ujasiriamali wa sasa unachukuliwa kama dhana ya vijana waliothubutu kujiajiri na kupewa cheo...