Toka tarehe 27 October 2023, kampuni ya michezo ya kubashiri betpawa inashindwa kutoa (withdraw) pesa kwa wateja wake.
Changamoto hii mpaka sasa bado ipo, kiasi kwamba kuna baadhi ya wadau wana hofu huenda ikawa ndiyo mwisho wa kampuni hiyo kuwepo hapa Tanzania na pesa zao walizoshinda baada ya...