betri za simu

  1. Betri za Redio zikiisha Nguvu huwa tunazianika Juani Kisha tutaendelea Kuzitumia je, Betri za Simu zikianza Kupungua Nguvu tunafanyaje?

    Hapa nitakuwa nasoma tu Maoni yenu!!!
  2. K

    Naomba kujuzwa kifaa sahihi cha kupima uwezo wa betri za simu

    Jamani kwa anayejua ni kifaa gani kina uwezo wa kupima uwezo wa Betri za simu anifahamishe tafadharini waungwana.
  3. E

    Msaada betri ya simu, aina: Freetel Priori 4

    Msaada.. Natafuta betri ya simu, aina ya simu: Freetel Priori 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…