Nashiba nikionja ni Kila natapika!!
Namshukuru aliye asili yangu Kwa pumzi na uweza wangu wa kupata na Kutoa taarifa Kwa jamii ya watanzania.
Nyumba yangu imejengwa msingi tu,Haina Kuta,haija pauliwa ,natafuta mafundi,nawapata wananiambia wao hufanya kazi kwenye Giza.Je! mnaonaje!! Wananiambia...