Juzi nilikuwa live kufuatilia utoaji wa tuzo za grammy uko kwa beberu trump
Matukio mengi yalienda sawa kabla ya bwana Ye kuingia na demu wake redcarpet akiwa uchi ad wakatimuliwa
Ila tukio la kuvunja moyo ni beyonce kushinda tuzo la album bora la music wa country 🤣🤣
Inamaana wamarekan...
Hivi kwa sisi ambao tayati tumefika miaka 38 bado tunajitafuta na tunaonekana kama wazee, Hivi kama ukitoboa labda na miaka 45. Unaweza ukarudi kuwa kijana kabisa ukisingatia diet, mazoezi na vinginevyo ? Au Wenzetu wanaanza hayo mambo wakiwa na miaka 20.
Huyu Tayla ni binti mdogo lakini ni hatari.
Hii nyimbo aliyo toa sasa kaziba midomo ya watu.
Mwaacheni abebe tuzo zote nyie endeleeni kuruka hizo amapiano tuzo mtazisikia kwenye bomba.
https://youtu.be/uLK2r3sG4lE?si=ui8-GXtbp_qEA1UK
Unajua hawa wasanii wanapokuwa celebrated na kuwa glorified inafika point wanajiona wao ni Mungu-mtu
Sasa anadhani asipoenda kufanya show watakufa njaa?
Nimeona hii thread niianzishie huku kwa sababu, Diddy alikutwa na mafuta, tofauti na hapo hii mada ilitakiwa niiposti jukwaa la intelligence. Msikilize huyu mshua alivyozichambua shutuma za Diddy.
Jamani ndugu zanguni, tujitahidi tupate utajiri mapema, zama zijazo maisha yatakua magumu sana...
Hawa ni miongoni wa beki tatu bora waliowahi tokea duniani.
Bila ya kujali ushabiki waorodheshe kuanzia alie kuwa bora zaidi ya mwenzake katika nyanja ya beki wa kushoto.
20 years ago today, Beyoncé released her debut solo single ‘Crazy In Love’ featuring Jay-Z.
The Grammy-winning classic reached #1 on the Billboard Hot 100 and remained atop for 8 weeks. It was named the Greatest Song of the 21st Century by Rolling Stone and won two Grammys.
Kwa mujibu wa Mtandao wa KRONOS 360, Hizi saa ndio zinaongoza kwa kuuzwa gharama kubwa kwenye minada duniani. Kumbuka ni kati ya saa zilizotengenezwa kwa oda maalumu au chache. Hivyo sio rahisi kuzipata madukani.
1- Graff Diamonds - Hallucination - Tsh. Bilioni 128.7
2. Chopard – 201 carats -...
Licha ya Wadau wa Burudani kufurahia #Beyoncé kurejea jukwaani baada Miaka 5, baadhi wameoneshwa kutofurahishwa na Nyota huyo kutumbuiza katika Nchi yenye Sheria kali dhidi ya Wapenzi ya Jinsia Moja
Baadhi ya Mashabiki wake wamedai kuwa Beyonce ni Mshirika wa Jamii ya LGBTQI, na kitendo hicho...
Beyoncé, ambaye alizaliwa mnamo Septemba 4, 1981, alipata umaarufu akiwa member wa Destiny's Child (hapo awali kilijulikana kama Girl's Tyme), moja ya bendi kubwa zaidi za wasichana katika historia ya muziki.
Baada ya kuachana na Destiny’s Child, alianza kazi kama msanii mmoja akiongeza mauzo...
Ni katika muemdelezo wa sakata la wamasai wa Ngorongoro.
Bi Maria Sarungi ambaye ndiye mtu namba moja aliesimama kwa hali na mali kuwapigania Wamasai wa Ngorongoro ameamua kuishtaki serikali ya Tanzania kwa Mwanadada Beyonce na mumewe Jay Z.
Vita ya uchumi ni mbaya sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.