Nawalaumu ma DJ, nakumbuka 2005 hadi 2009 bongo hip hop ilikuwa juu ma dj wali support mnoo,karibia radio zote walikuwa wanapiga hip hop conscious.
Pongezi kwa Uncle Sam (RFA) ilikuwa kila ijumaa weekend fever alikuwa anatwanga hip hop za maana, Sheza (Hip hop base EATV), Saigon (Hip hop base...