Kampuni za Kitanzania Zahimizwa Kuchangamkia Zabuni Comoro
Kampuni za Kitanzania zimetakiwa kuomba kandarasi za ujenzi wa miradi inayofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Ufaransa visiwani Comoro
Hayo yameelezwa wakati wa mazunguzo kati ya Balozi wa Tanzania, Comoro, Mhe. Saidi Yakubu na...