biashara darasani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ufedhuri na biashara za kitapeli

    ni jambo la kusikitisha kuna siku niliwahi sema humuu JF kumetapakaa matapeli na watu wa hovyo sana,, just assume watu wanaomba kazi humu mtu anadiriki kujifanya anakazi anakupatia tena anakusumbua tafuta wadhamini njoo na barua za utambulisho toka serikali za mtaa Ehhhh bana unaingia kazini...
  2. Napataje mawazo mazuri ya kuanzisha biashara? Kufikiria mwenyewe haitoshi kunipa wazo sahihi kwa asilimia 100.

    Kumradhi Ndugu yangu. Nawaza kuanzisha biashara ila sijafikia muafaka mawazo yangu. Sijazaliwa kwenye familia yenye umaridadi sana na biashara, ila hii haimanishi kwamba siwezi kufanya biashara. Naamini naweza kuwa Maridadi sana kwenye Biashara. Nahitaji data na mawazo Yako, Ndugu yangu...
  3. Taratibu za utumishi wa umma zinaruhusu mwalimu kufanya biashara darasani kwa wanafunzi anaowafundisha?

    Habari za asubuhi wanajamvi, Samahani naomba kujuzwa ikiwa kanuni na taratibu za utumishi wa umma zinaruhusu Kwa waalimu kufanya biashara darasani Kwa wanafunzi anaowafundisha? Kwa ufupi ni kwamba kuna shule moja ipo mkoani Morogoro, wilaya ya Morogoro DC ambapo mwezi January niliwahamishia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…