Ni danguro la mabinti wadogo sana wengine wanawake watu wazima eneo la Mbezi Beach - Rainbow
Polisi Kawe wameshaaambiwa sana lakini wanachofanya wanabeba wanawake wakifika gizani wanawaachia wanarudi tena usiku huo huo! Huku Beach imegeuka Lodge, walinzi Shirikishi wanawalinda na kuvuta chao...
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni amesema Wameshindwa kupambana na Biashara ya Ukahaba hivyo Wataomba Ihalalishwe na Wasajiliwe Kabisa
Chanzo: Jambo TV