Habari Wadau! Sikuwahi kuwaza Kama ningekuja kuwa mfanyabiashara siku moja. Lakini hakuna ajuaye kesho. Ok nilihitimu Udsm 2019 tangu hapo sijawahi kupata kazi yeyote yakulipwa kutokana na elimu nilitosoma.
Kwetu ni Moshi hivyo nikawa nashinda tu home sina hili wala lile umri unaenda na Wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.