biashara mtaani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tuwaheshimu hawa wanawake wanaozungusha biashara mtaani

    Kuna wanawake na mabinti wanazunguka mtaani hasa maeeneo yenye shughuri za kazi mbalimbali kama masoko,workshop,gerejeji nk wakiuza hasa matunda . Kunatabia ambayo imeota mizizi naweza kusema ni sawa na kidharirisha utu wao. Anaitwa apeleke matunda katika kundi la wanaume ktk sehemu...
  2. Biashara iliyoniokoa baada ya kumaliza chuo

    Habari Wadau! Sikuwahi kuwaza Kama ningekuja kuwa mfanyabiashara siku moja. Lakini hakuna ajuaye kesho. Ok nilihitimu Udsm 2019 tangu hapo sijawahi kupata kazi yeyote yakulipwa kutokana na elimu nilitosoma. Kwetu ni Moshi hivyo nikawa nashinda tu home sina hili wala lile umri unaenda na Wala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…