biashara mtaji mdogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Fanya biashara hizi kama una mtaji kiduchu

    Una mtaji wa laki 2 mpaka million 2? Hizi ni biashara ambazo unaweza ukafanya na zikakupa uhakika wa faida ya TSH 30,000_ laki kwa siku(1_3M kwa mwezi) Wakati mwingine biashara nzuri sio Ile inayoonekana ya kifahari sana na decorations nzuri Biashara ni mizunguko,faida💵. Hizi biashara Zina...
  2. Watu wa mataifa mengine hasa Wachina kufanya biashara za umachinga ni kuua soko la wazawa

    Hii sijui niite ujinga ama ubinasfi au kukosa kabisa maarifa juu ya upendo wa nchi yako au kwa jamii yako kabisa? Kuna hili sakata kwa sasa kwa wageni haswa wachina wamekuwa wengi sana hapa nchini na. Mbaya zaidi wanafanya kazi za wazawa tena zile za chini kabisa, nazungumzia umachinga Unakuta...
  3. Biashara unazoweza kufanya kwa mtaji wa 200,000/=

    Kuanza biashara na mtaji wa TSH 200,000/= katika mji kama Dar es Salaam inawezekana kwa kuchagua biashara ndogo ndogo ambazo hazihitaji mtaji mkubwa. Hapa kuna mawazo ya biashara ambazo unaweza kuanzisha: 1. Biashara ya Vyakula vya Mtaani Samosa na Vitumbua: Unaweza kuanza kuuza vitafunwa kama...
  4. W

    Bei ya Dagaa imepungua, karibuni wanunuzi

    Habari wanajami, narudi tena. Bei ya dagaa imepungua maana giza limeanza na uvuvi kuendelea kama ilivyo kawaida. Bei zilizopo muda huu. Japo huwa mabadiliko yapo kutokana na uvuvi ukiwa mzuri au mbaya. Dagaa wa nyasi.(wasio na mchanga) Gunia yenye debe 10 kilo 40 (tsh180000/=-tsh260000/=.)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…