MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOTANGAZA BIASHARA MTANDAONI
Jifunze na uitambue hadhira yako unayoilenga
Ikiwa huijui hadhira yako ni ipi, huwezi kuipa kile inachotaka, na kisha nayo haitakupa kile unachotaka.
Wafahamu kwa umri wao, wanaishi wapi, wanazungumza lugha gani na wapo katika hatua gani...